Yeremia 4:14
Jeremiah 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini?
Jeremiah 4:14 in English
Jeremiah 4:14 · Berean Standard Bible
Wash the evil from your heart, O Jerusalem, so that you may be saved. How long will you harbor wicked thoughts within you?
Context
12upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.” 13Tazama! Anakuja kama mawingu,
magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli,
farasi wake wana mbio kuliko tai.
Ole wetu! Tunaangamia! 14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe.
Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini? 15Sauti inatangaza kutoka Dani,
ikipiga mbiu ya maafa kutoka vilima vya Efraimu. 16“Waambie mataifa jambo hili,
piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu:
‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali,
likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.