Native Bible

Jeremiah 16:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Naam, lakini hao si miungu!”

Jeremiah 16:20 in English

Jeremiah 16:20 · Berean Standard Bible

Can man make gods for himself? Such are not gods!”

Context

18Nitawalipiza maradufu kwa ajili ya uovu wao na dhambi yao, kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa maumbo yasiyo na uhai ya vinyago vyao vibaya, na kuujaza urithi wangu na sanamu za kuchukiza.” 19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, kimbilio langu wakati wa taabu, kwako mataifa yatakujia kutoka miisho ya dunia na kusema, “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, sanamu zisizofaa kitu ambazo hazikuwafaidia lolote. 20Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Naam, lakini hao si miungu!” 21“Kwa hiyo nitawafundisha: wakati huu nitawafundisha nguvu zangu na uwezo wangu. Ndipo watakapojua kuwa Jina langu ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.