Native Bible

Jeremiah 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa hiyo nitawafundisha: wakati huu nitawafundisha nguvu zangu na uwezo wangu. Ndipo watakapojua kuwa Jina langu ndimi Bwana.

Jeremiah 16:21 in English

Jeremiah 16:21 · Berean Standard Bible

“Therefore behold, I will inform them, and this time I will make them know My power and My might; then they will know that My name is the LORD.

Context

19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, kimbilio langu wakati wa taabu, kwako mataifa yatakujia kutoka miisho ya dunia na kusema, “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, sanamu zisizofaa kitu ambazo hazikuwafaidia lolote. 20Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Naam, lakini hao si miungu!” 21“Kwa hiyo nitawafundisha: wakati huu nitawafundisha nguvu zangu na uwezo wangu. Ndipo watakapojua kuwa Jina langu ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.