Native Bible

Jeremiah 16:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha neno la Bwana likanijia:

Jeremiah 16:1 in English

Jeremiah 16:1 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Kisha neno la Bwana likanijia: 2“Kamwe usioe na kuwa na wana wala binti mahali hapa.” 3Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana kuhusu wana na binti wazaliwao katika nchi hii, na kuhusu wale wanawake ambao ni mama zao, na wale wanaume ambao ni baba zao:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.