Yeremia 16:2
Jeremiah 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kamwe usioe na kuwa na wana wala binti mahali hapa.”
Jeremiah 16:2 in English
Jeremiah 16:2 · Berean Standard Bible
“You must not marry or have sons or daughters in this place.”
Context
1Kisha neno la Bwana likanijia: 2“Kamwe usioe na kuwa na wana wala binti mahali hapa.” 3Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana kuhusu wana na binti wazaliwao katika nchi hii, na kuhusu wale wanawake ambao ni mama zao, na wale wanaume ambao ni baba zao: 4“Watakufa kwa magonjwa ya kufisha. Hawataombolezewa wala kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyosambaa juu ya ardhi. Watakufa kwa upanga na kwa njaa, nazo maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.