Waamuzi 5:31
Judges 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! Bali wote wakupendao na wawe kama jua lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
Judges 5:31 in English
Judges 5:31 · Berean Standard Bible
So may all your enemies perish, O LORD! But may those who love You shine like the sun at its brightest.” And the land had rest for forty years.
Context
29Wanawake wenye busara
kuliko wengine wote wakamjibu;
naam, husema moyoni mwake, 30‘Je, hawapati na kugawanya nyara:
msichana mmoja au wawili kwa kila mtu,
mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara,
mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa,
mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu:
yote haya yakiwa nyara?’ 31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana!
Bali wote wakupendao na wawe kama jua
lichomozavyo kwa nguvu zake.”
Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.