Native Bible

Judges 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliomba maji, naye akampa maziwa; kwenye bakuli la heshima akamletea maziwa mgando.

Judges 5:25 in English

Judges 5:25 · Berean Standard Bible

He asked for water, and she gave him milk. In a magnificent bowl she brought him curds.

Context

23Malaika wa Bwana akasema, ‘Merozi alaaniwe. Walaaniwe watu wake kwa uchungu, kwa kuwa hawakuja kumsaidia Bwana, kumsaidia Bwana dhidi ya hao wenye nguvu.’ 24“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote waishio kwenye mahema. 25Aliomba maji, naye akampa maziwa; kwenye bakuli la heshima akamletea maziwa mgando. 26Akanyoosha mkono wake akashika kigingi cha hema, mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya fundi. Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa chake, akamvunjavunja na kumtoboa paji lake la uso. 27Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Pale alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.