Native Bible

Judges 2:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua.

Judges 2:23 in English

Judges 2:23 · Berean Standard Bible

That is why the LORD had left those nations in place and had not driven them out immediately by delivering them into the hand of Joshua.

Context

21mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki. 22Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.” 23Bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.