Native Bible

Judges 2:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.”

Judges 2:22 in English

Judges 2:22 · Berean Standard Bible

In this way I will test whether Israel will keep the way of the LORD by walking in it as their fathers did.”

Context

20Kwa hiyo Bwana akawakasirikia sana Israeli na kusema, “Kwa kuwa taifa hili limevunja Agano lile nililofanya na baba zao na hawakunisikiliza, 21mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki. 22Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.” 23Bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.