Waamuzi 14:1
Judges 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti.
Judges 14:1 in English
Judges 14:1 · Berean Standard Bible
One day Samson went down to Timnah, where he saw a young Philistine woman.
Context
1Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti. 2Alipopanda kutoka huko, akawaambia baba yake na mama yake, “Nimemwona mwanamke wa Kifilisti huko Timna; basi mnipe ili awe mke wangu.” 3Baba yake na mama yake wakamjibu, “Je, hakuna mwanamke miongoni mwa jamaa yako au miongoni mwa ndugu zako, hata ulazimike kwenda kujitwalia mwanamke kutoka kwa hawa Wafilisti wasiotahiriwa?”
Lakini Samsoni akamwambia baba yake, “Nipatieni huyo kwa maana ndiye alinipendeza.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.