Native Bible

Judges 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu.

Judges 11:5 in English

Judges 11:5 · Berean Standard Bible

and made war with them, the elders of Gilead went to get Jephthah from the land of Tob.

Context

3Basi Yefta akawakimbia ndugu zake akaenda kuishi katika nchi ya Tobu, mahali ambako watu waasi walijiunga naye na kumfuata. 4Baada ya muda Waamoni wakafanya vita na Israeli, 5viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu. 6Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.” 7Yefta akawaambia, “Je, hamkunichukia mimi na kunifukuza katika nyumba ya baba yangu? Kwa nini mnanijia sasa, wakati mna matatizo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.