Native Bible

Judges 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”

Judges 11:6 in English

Judges 11:6 · Berean Standard Bible

“Come,” they said, “be our commander, so that we can fight against the Ammonites.”

Context

4Baada ya muda Waamoni wakafanya vita na Israeli, 5viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu. 6Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.” 7Yefta akawaambia, “Je, hamkunichukia mimi na kunifukuza katika nyumba ya baba yangu? Kwa nini mnanijia sasa, wakati mna matatizo.” 8Viongozi wa Gileadi wakamwambia Yefta, “Lakini sasa tumegeuka kukuelekea wewe, ili uende pamoja nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu juu ya watu wote wa Gileadi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.