Isaya 8:5
Isaiah 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akasema nami tena:
Isaiah 8:5 in English
Isaiah 8:5 · Berean Standard Bible
And the LORD spoke to me further:
Context
3Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi. 4Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.” 5Bwana akasema nami tena: 6“Kwa sababu watu hawa wamekataa maji ya Shilo yatiririkayo taratibu
wakamfurahia Resini na mwana wa Remalia, 7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao
mafuriko makubwa ya Mto:*
yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote.
Yatafurika juu ya mifereji yake yote,
yatamwagikia juu ya kingo zake zote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.