Native Bible

Isaiah 7:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.”

Isaiah 7:12 in English

Isaiah 7:12 · Berean Standard Bible

But Ahaz replied, “I will not ask; I will not test the LORD.”

Context

10Bwana akasema na Ahazi tena, 11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.” 12Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.” 13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia? 14Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.