Native Bible

Isaiah 7:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.*

Isaiah 7:14 in English

Isaiah 7:14 · Berean Standard Bible

Therefore the Lord Himself will give you a sign: Behold, the virgin * will be with child and will give birth to a son, and will call Him Immanuel.*

Context

12Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.” 13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia? 14Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.* 15Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema. 16Lakini kabla mtoto hajajua kukataa mabaya na kuchagua mema, nchi ya wafalme hao wawili unaowaogopa itafanywa ukiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.