Isaya 7:10
Isaiah 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akasema na Ahazi tena,
Isaiah 7:10 in English
Isaiah 7:10 · Berean Standard Bible
Again the LORD spoke to Ahaz, saying,
Context
8kwa kuwa kichwa cha Aramu ni Dameski,
na kichwa cha Dameski ni Resini peke yake.
Katika muda wa miaka sitini na mitano,
Efraimu atakuwa ameharibiwa
kiasi kwamba hataweza tena kuwa taifa. 9Kichwa cha Efraimu ni Samaria,
na kichwa cha Samaria
ni mwana wa Remalia peke yake.
Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu,
hamtaimarika kamwe.’ ” 10Bwana akasema na Ahazi tena, 11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.” 12Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.