Native Bible

Isaiah 7:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”

Isaiah 7:11 in English

Isaiah 7:11 · Berean Standard Bible

“Ask for a sign from the LORD your God, whether from the depths of Sheol or the heights of heaven.”

Context

9Kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia peke yake. Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu, hamtaimarika kamwe.’ ” 10Bwana akasema na Ahazi tena, 11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.” 12Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.” 13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.