Isaya 65:25
Isaiah 65:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, naye simba atakula nyasi kama maksai, lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawatadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu wote,” asema Bwana.
Isaiah 65:25 in English
Isaiah 65:25 · Berean Standard Bible
The wolf and the lamb will feed together, and the lion will eat straw like the ox, but the food of the serpent * will be dust. They will neither harm nor destroy on all My holy mountain,” says the LORD.
Context
23Hawatajitaabisha kwa kazi bure,
wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga,
kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Bwana,
wao na wazao wao pamoja nao. 24Kabla hawajaita, nitajibu,
nao wakiwa katika kunena, nitasikia. 25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja,
naye simba atakula nyasi kama maksai,
lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka.
Hawatadhuru wala kuharibu
katika mlima wangu mtakatifu wote,”
asema Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.