Isaya 55:4
Isaiah 55:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa, kiongozi na jemadari wa mataifa.
Isaiah 55:4 in English
Isaiah 55:4 · Berean Standard Bible
Behold, I have made him a witness to the nations, a leader and commander of the peoples.
Context
2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula,
na kutaabikia kitu kisichoshibisha?
Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri,
nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 3Tegeni sikio mje kwangu,
nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi.
Nitafanya agano la milele nanyi,
pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi. 4Tazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa,
kiongozi na jemadari wa mataifa. 5Hakika utaita mataifa usiyoyajua,
nayo mataifa yale yasiyokujua yataharakisha kukujia,
kwa sababu ya Bwana Mungu wako,
yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli,
kwa maana amekutukuza.” 6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana;
mwiteni maadamu yu karibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.