Native Bible

Isaiah 54:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu.

Isaiah 54:13 in English

Isaiah 54:13 · Berean Standard Bible

Then all your sons will be taught by the LORD,* and great will be their prosperity.

Context

11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa, nitakujenga kwa almasi, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi. 12Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito vingʼaavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani. 13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu. 14Kwa haki utathibitika: Kuonewa kutakuwa mbali nawe; hutaogopa chochote. Hofu itakuwa mbali nawe; haitakukaribia wewe. 15Kama mtu yeyote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; yeyote akushambuliaye atajisalimisha kwako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.