Native Bible

Isaiah 49:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wako wanaharakisha kurudi, nao wale waliokuteka wanaondoka kwako.

Isaiah 49:17 in English

Isaiah 49:17 · Berean Standard Bible

Your builders * hasten back; your destroyers and wreckers depart from you.

Context

15“Je, mama aweza kumsahau mtoto aliyeko matitini mwake akinyonya, wala asiwe na huruma juu ya mtoto aliyemzaa? Ingawa anaweza kusahau, mimi sitakusahau wewe! 16Tazama, nimekuchora kama muhuri katika vitanga vya mikono yangu, kuta zako zi mbele yangu daima. 17Wana wako wanaharakisha kurudi, nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. 18Inua macho yako ukatazame pande zote: wana wako wote wanakusanyika na kukujia. Kwa hakika kama vile niishivyo, utawavaa wote kama mapambo, na kujifunga nao kama bibi arusi,” asema Bwana. 19“Ingawa uliangamizwa na kufanywa ukiwa, na nchi yako ikaharibiwa, sasa nafasi itakuwa finyu kwa ajili ya watu wako, nao wale waliokuangamiza watakuwa mbali sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.