Isaya 44:27
Isaiah 44:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka, nami nitakausha vijito vyako,’
Isaiah 44:27 in English
Isaiah 44:27 · Berean Standard Bible
who says to the depths of the sea, ‘Be dry, and I will dry up your currents,’
Context
25“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo,
na kuwatia upumbavu waaguzi,
niyapinduaye maarifa ya wenye hekima,
na kuyafanya kuwa upuzi, 26niyathibitishaye maneno ya watumishi wake,
na kutimiza utabiri wa wajumbe wake,
“niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’
niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’
na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’ 27niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka,
nami nitakausha vijito vyako,’ 28nisemaye kuhusu Koreshi, ‘Yeye ni mchungaji wangu,
naye atatimiza yote yanipendezayo;
atauambia Yerusalemu, “Ukajengwe tena,”
na kuhusu Hekalu, “Misingi yake na iwekwe.” ’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.