Native Bible

Isaiah 40:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,

Isaiah 40:30 in English

Isaiah 40:30 · Berean Standard Bible

Even youths grow tired and weary, and young men stumble and fall.

Context

28Je wewe, hufahamu? Je wewe, hujasikia? Bwana ni Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia. Hatachoka wala kulegea, wala hakuna hata mmoja awezaye kuupima ufahamu wake. 29Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. 30Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 31bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.