Native Bible

Isaiah 40:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu.

Isaiah 40:29 in English

Isaiah 40:29 · Berean Standard Bible

He gives power to the faint and increases the strength of the weak.

Context

27Kwa nini unasema, ee Yakobo, nanyi ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa Bwana asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?” 28Je wewe, hufahamu? Je wewe, hujasikia? Bwana ni Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia. Hatachoka wala kulegea, wala hakuna hata mmoja awezaye kuupima ufahamu wake. 29Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. 30Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 31bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.