Native Bible

Isaiah 40:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Isaiah 40:31 in English

Isaiah 40:31 · Berean Standard Bible

But those who wait upon the LORD will renew their strength; they will mount up with wings like eagles; they will run and not grow weary, they will walk and not faint.

Context

29Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. 30Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 31bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.