Isaya 38:4
Isaiah 38:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo neno la Bwana likamjia Isaya, kusema:
Isaiah 38:4 in English
Isaiah 38:4 · Berean Standard Bible
And the word of the LORD came to Isaiah, saying,
Context
2Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana: 3“Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu. 4Ndipo neno la Bwana likamjia Isaya, kusema: 5“Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako. 6Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.