Isaya 38:2
Isaiah 38:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana:
Isaiah 38:2 in English
Isaiah 38:2 · Berean Standard Bible
Then Hezekiah turned his face to the wall and prayed to the LORD,
Context
1Katika siku hizo Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo Bwana: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.” 2Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana: 3“Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu. 4Ndipo neno la Bwana likamjia Isaya, kusema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.