Native Bible

Isaiah 35:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea,

Isaiah 35:3 in English

Isaiah 35:3 · Berean Standard Bible

Strengthen the limp hands and steady the feeble knees!*

Context

1Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi, 2litachanua maua, litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. Litapewa utukufu wa Lebanoni, fahari ya Karmeli na Sharoni; wataona utukufu wa Bwana, fahari ya Mungu wetu. 3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 4waambieni wale wenye mioyo ya hofu, “Kuweni hodari, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja, pamoja na malipo ya Mungu, atakuja na kuwaokoa ninyi.” 5Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa na masikio ya viziwi yatazibuliwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.