Native Bible

Isaiah 35:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi,

Isaiah 35:1 in English

Isaiah 35:1 · Berean Standard Bible

The wilderness and the land will be glad; the desert will rejoice and blossom like a rose.

Context

1Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi, 2litachanua maua, litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. Litapewa utukufu wa Lebanoni, fahari ya Karmeli na Sharoni; wataona utukufu wa Bwana, fahari ya Mungu wetu. 3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.