Isaya 34:2
Isaiah 34:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ameyakasirikia mataifa yote; ghadhabu yake ni juu ya majeshi yao yote. Atawaangamiza kabisa, atawatia mikononi mwa wachinjaji.
Isaiah 34:2 in English
Isaiah 34:2 · Berean Standard Bible
The LORD is angry with all the nations and furious with all their armies. He will devote them to destruction;* He will give them over to slaughter.
Context
1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize;
sikilizeni kwa makini,
enyi kabila za watu!
Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake,
ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 2Bwana ameyakasirikia mataifa yote;
ghadhabu yake ni juu ya majeshi yao yote.
Atawaangamiza kabisa,
atawatia mikononi mwa wachinjaji. 3Waliouawa watatupwa nje,
maiti zao zitatoa uvundo,
milima itatota kwa damu zao. 4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka
na anga litasokotwa kama kitabu,
jeshi lote la angani litaanguka
kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu,
kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.