Isaya 3:6
Isaiah 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake katika nyumba ya baba yake na kusema, “Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu, tawala lundo hili la magofu!”
Isaiah 3:6 in English
Isaiah 3:6 · Berean Standard Bible
A man will seize his brother within his father’s house: “You have a cloak—you be our leader! Take charge of this heap of rubble.”
Context
4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao,
watoto ndio watakaowatawala. 5Watu wataoneana wao kwa wao:
mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake.
Kijana atainuka dhidi ya mzee,
mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 6Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake
katika nyumba ya baba yake na kusema,
“Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu,
tawala lundo hili la magofu!” 7Lakini siku hiyo atapiga kelele akisema,
“Sina uponyaji.
Sina chakula wala mavazi katika nyumba yangu,
msinifanye niwe kiongozi wa watu.” 8Yerusalemu inapepesuka,
Yuda inaanguka;
maneno yao na matendo yao ni kinyume na Bwana,
wakiudharau uwepo wake uliotukuka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.