Native Bible

Isaiah 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, watoto ndio watakaowatawala.

Isaiah 3:4 in English

Isaiah 3:4 · Berean Standard Bible

“I will make mere lads their leaders, and children will rule over them.”

Context

2shujaa na mtu wa vita, mwamuzi na nabii, mwaguzi na mzee, 3jemadari wa kikosi cha watu hamsini na mtu mwenye cheo, mshauri, fundi stadi na mlozi mjanja. 4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, watoto ndio watakaowatawala. 5Watu wataoneana wao kwa wao: mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake. Kijana atainuka dhidi ya mzee, mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 6Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake katika nyumba ya baba yake na kusema, “Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu, tawala lundo hili la magofu!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.