Isaya 3:2
Isaiah 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
shujaa na mtu wa vita, mwamuzi na nabii, mwaguzi na mzee,
Isaiah 3:2 in English
Isaiah 3:2 · Berean Standard Bible
the mighty man and the warrior, the judge and the prophet, the soothsayer and the elder,
Context
1Tazama sasa, Bwana,
Bwana Mwenye Nguvu Zote,
yu karibu kuwaondolea Yerusalemu na Yuda
upatikanaji wa mahitaji na misaada,
upatikanaji wote wa chakula na tegemeo lote la maji, 2shujaa na mtu wa vita,
mwamuzi na nabii,
mwaguzi na mzee, 3jemadari wa kikosi cha watu hamsini
na mtu mwenye cheo, mshauri,
fundi stadi na mlozi mjanja. 4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao,
watoto ndio watakaowatawala.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.