Native Bible

Isaiah 27:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi sijakasirika. Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! Ningepambana dhidi yake katika vita, ningeliichoma moto yote.

Isaiah 27:4 in English

Isaiah 27:4 · Berean Standard Bible

I am not angry. If only thorns and briers confronted Me, I would march and trample them, I would burn them to the ground.

Context

2Katika siku ile: “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 3Mimi, Bwana, ninalitunza, nalinyweshea maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru. 4Mimi sijakasirika. Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! Ningepambana dhidi yake katika vita, ningeliichoma moto yote. 5Au niwaache waje kwangu kwa ajili ya kupata kimbilio, wao na wafanye amani nami, naam, wafanye amani nami.” 6Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.