Native Bible

Isaiah 27:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ile: “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa:

Isaiah 27:2 in English

Isaiah 27:2 · Berean Standard Bible

In that day: “Sing about a fruitful vineyard.

Context

1Katika siku ile, Bwana ataadhibu kwa upanga wake, upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, ataadhibu Lewiathani* yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini. 2Katika siku ile: “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 3Mimi, Bwana, ninalitunza, nalinyweshea maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru. 4Mimi sijakasirika. Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! Ningepambana dhidi yake katika vita, ningeliichoma moto yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.