Native Bible

Isaiah 27:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ile, Bwana ataadhibu kwa upanga wake, upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, ataadhibu Lewiathani* yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.

Isaiah 27:1 in English

Isaiah 27:1 · Berean Standard Bible

In that day the LORD will take His sharp, great, and mighty sword, and bring judgment on Leviathan the fleeing serpent *—Leviathan the coiling serpent—and He will slay the dragon of the sea.

Context

1Katika siku ile, Bwana ataadhibu kwa upanga wake, upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, ataadhibu Lewiathani* yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini. 2Katika siku ile: “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 3Mimi, Bwana, ninalitunza, nalinyweshea maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.