Native Bible

Isaiah 26:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumaini Bwana milele, kwa kuwa Bwana, Bwana, ni Mwamba wa milele.

Isaiah 26:4 in English

Isaiah 26:4 · Berean Standard Bible

Trust in the LORD forever, because GOD the LORD is the Rock eternal.

Context

2Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lile lidumishalo imani. 3Utamlinda katika amani kamilifu yeye ambaye moyo wake ni thabiti kwa sababu anakutumaini wewe. 4Mtumaini Bwana milele, kwa kuwa Bwana, Bwana, ni Mwamba wa milele. 5Huwashusha wale wajikwezao, huushusha chini mji wenye kiburi, huushusha hadi ardhini na kuutupa chini mavumbini. 6Miguu huukanyaga chini, miguu ya hao walioonewa, hatua za hao maskini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.