Isaya 23:6
Isaiah 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vukeni mpaka Tarshishi, ombolezeni, enyi watu wa kisiwani.
Isaiah 23:6 in English
Isaiah 23:6 · Berean Standard Bible
Cross over to Tarshish; wail, O inhabitants of the coastland!
Context
4Uaibishwe ee Sidoni, nawe ee ngome la bahari,
kwa kuwa bahari imesema:
“Sijapata kuwa na uchungu wa kuzaa wala sijapata kuzaa,
wala sijapata kulea wana wala kutunza mabinti.” 5Habari ifikapo Misri,
watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro. 6Vukeni mpaka Tarshishi,
ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. 7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe,
mji wa zamani, zamani kabisa
ambao miguu yake imeuchukua
kufanya makao nchi za mbali sana? 8Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro,
mji utoao mataji,
ambao wafanyabiashara wake ni wana wa mfalme
na wachuuzi wake ni watu mashuhuri wa dunia?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.