Native Bible

Isaiah 22:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao.

Isaiah 22:6 in English

Isaiah 22:6 · Berean Standard Bible

Elam takes up a quiver, with chariots and horsemen, and Kir uncovers the shield.

Context

4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, niache nilie kwa uchungu. Usijaribu kunifariji juu ya maangamizi ya watu wangu.” 5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayo siku ya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofya katika Bonde la Maono, siku ya kuangusha kuta na ya kupiga kelele mpaka milimani. 6Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao. 7Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji; 8ulinzi wa Yuda umeondolewa. Nawe ulitazama siku ile silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.