Isaya 17:8
Isaiah 17:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawataziangalia tena madhabahu, kazi za mikono yao, nao hawataheshimu nguzo za Ashera,* na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.
Isaiah 17:8 in English
Isaiah 17:8 · Berean Standard Bible
They will not look to the altars they have fashioned with their hands or to the Asherahs and incense altars they have made with their fingers.
Context
6Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki,
kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa,
kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni,
nne au tano katika matawi yazaayo sana,”
asema Bwana, Mungu wa Israeli. 7Katika siku ile watu watamwangalia Muumba wao,
na kuelekeza macho yao kwa yule Aliye Mtakatifu wa Israeli. 8Hawataziangalia tena madhabahu,
kazi za mikono yao,
nao hawataheshimu nguzo za Ashera,*
na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao. 9Katika siku ile miji yao iliyo imara, ambayo waliihama kwa sababu ya Waisraeli, itakuwa kama mahali palipoachwa pa vichaka na magugu. Nayo yote itakuwa ukiwa. 10Mmemsahau Mungu Mwokozi wenu,
hamkumkumbuka Mwamba aliye ngome yenu.
Kwa hiyo, hata ingawa mlipandikiza mimea iliyo mizuri sana
na kuotesha mizabibu ya kigeni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.