Native Bible

Isaiah 1:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sayuni itakombolewa kwa haki, wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu.

Isaiah 1:27 in English

Isaiah 1:27 · Berean Standard Bible

Zion will be redeemed with justice, her repentant ones with righteousness.

Context

25Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote. 26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. Baadaye utaitwa, Mji wa Haki, Mji Mwaminifu.” 27Sayuni itakombolewa kwa haki, wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu. 28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni ambayo mlifurahia, mtafadhaika kwa sababu ya bustani mlizozichagua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.