Native Bible

Isaiah 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fedha yenu imekuwa takataka, divai yenu nzuri imechanganywa na maji.

Isaiah 1:22 in English

Isaiah 1:22 · Berean Standard Bible

Your silver has become dross; your fine wine is diluted with water.

Context

20lakini kama mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu umekuwa kahaba! Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, haki ilikuwa inakaa ndani yake, lakini sasa ni wauaji! 22Fedha yenu imekuwa takataka, divai yenu nzuri imechanganywa na maji. 23Watawala wenu ni waasi, rafiki wa wevi, wote wanapenda rushwa na kukimbilia hongo. Hawatetei yatima, shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.