Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Efraimu anajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate ambao haukuiva.

Hosea 7:8 in English

Hosea 7:8 · Berean Standard Bible

Ephraim mixes with the nations; Ephraim is an unturned cake.

Context

6Mioyo yao ni kama tanuru, wanamwendea kwa hila. Hasira yao inafoka moshi usiku kucha, wakati wa asubuhi inalipuka kama miali ya moto. 7Wote ni moto kama tanuru; wanawaangamiza watawala wao. Wafalme wake wote wanaanguka, wala hakuna yeyote kati yao aniitaye mimi. 8“Efraimu anajichanganya na mataifa; Efraimu ni mkate ambao haukuiva. 9Wageni wananyonya nguvu zake, lakini hafahamu hilo. Nywele zake zina mvi hapa na pale, lakini hana habari. 10Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa Bwana Mungu wake wala kumtafuta.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.