Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.

Hosea 4:19 in English

Hosea 4:19 · Berean Standard Bible

The whirlwind has wrapped them * in its wings, and their sacrifices will bring them shame.

Context

17Efraimu amejiunga na sanamu, ondokana naye! 18Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu. 19Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.