Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Efraimu amejiunga na sanamu, ondokana naye!

Hosea 4:17 in English

Hosea 4:17 · Berean Standard Bible

Ephraim * is joined to idols; leave him alone!

Context

15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, Yuda naye asije akawa na hatia. “Usiende Gilgali, usipande kwenda Beth-Aveni* Wala usiape, ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 16Waisraeli ni wakaidi, kama mtamba wa ngʼombe ambaye ni mkaidi. Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga kama wana-kondoo katika shamba la majani? 17Efraimu amejiunga na sanamu, ondokana naye! 18Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu. 19Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.