Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha Bwana na kujiingiza wenyewe

Hosea 4:10 in English

Hosea 4:10 · Berean Standard Bible

They will eat but not be satisfied; they will be promiscuous but not multiply. For they have stopped obeying the LORD.

Context

8Hujilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao. 9Hata itakuwa: Kama walivyo watu, ndivyo walivyo makuhani. Nitawaadhibu wote wawili kwa ajili ya njia zao na kuwalipa kwa matendo yao. 10“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha Bwana na kujiingiza wenyewe 11katika ukahaba, divai ya zamani na divai mpya, ambavyo huondoa ufahamu 12wa watu wangu. Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti nao hujibiwa na fimbo ya mti. Roho ya ukahaba imewapotosha, hawana uaminifu kwa Mungu wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.