Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata itakuwa: Kama walivyo watu, ndivyo walivyo makuhani. Nitawaadhibu wote wawili kwa ajili ya njia zao na kuwalipa kwa matendo yao.

Hosea 4:9 in English

Hosea 4:9 · Berean Standard Bible

And it shall be like people, like priest. I will punish both of them for their ways and repay them for their deeds.

Context

7Kadiri makuhani walivyoongezeka, ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu, walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu. 8Hujilisha dhambi za watu wangu na kupendezwa na uovu wao. 9Hata itakuwa: Kama walivyo watu, ndivyo walivyo makuhani. Nitawaadhibu wote wawili kwa ajili ya njia zao na kuwalipa kwa matendo yao. 10“Watakula lakini hawatashiba; watajiingiza katika ukahaba lakini hawataongezeka, kwa sababu wamemwacha Bwana na kujiingiza wenyewe 11katika ukahaba, divai ya zamani na divai mpya, ambavyo huondoa ufahamu

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.