Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wangu wamedhamiria kuniacha. Hata kama wakimwita Yeye Aliye Juu Sana, kwa vyovyote hatawainua.

Hosea 11:7 in English

Hosea 11:7 · Berean Standard Bible

My people are bent on turning from Me. Though they call to the Most High, He will by no means exalt them.

Context

5“Je, hawatarudi Misri, nayo Ashuru haitawatawala kwa sababu wamekataa kutubu? 6Panga zitametameta katika miji yao, zitaharibu makomeo ya malango yao na kukomesha mipango yao. 7Watu wangu wamedhamiria kuniacha. Hata kama wakimwita Yeye Aliye Juu Sana, kwa vyovyote hatawainua. 8“Efraimu, ninawezaje kukuacha? Ee Israeli, ninawezaje kukutoa? Nitawezaje kukutendea kama Adma? Nitawezaje kukufanya kama Seboimu? Moyo wangu umegeuka ndani yangu, huruma zangu zote zimeamshwa. 9Sitatimiza hasira yangu kali, wala sitageuka na kumharibu Efraimu. Kwa kuwa mimi ndimi Mungu, wala si mwanadamu, Aliye Mtakatifu miongoni mwenu. Sitakuja kwa ghadhabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.