Waebrania 7:18
Hebrews 7:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa upande mmoja, ile amri ya mwanzo isiyofaa na dhaifu imebatilishwa
Hebrews 7:18 in English
Hebrews 7:18 · Berean Standard Bible
So the former commandment is set aside because it was weak and useless
Context
16yeye ambaye amefanyika kuhani si kwa misingi ya sheria kama ilivyokuwa kwa baba zake, bali kwa misingi ya uwezo wa uzima usioharibika. 17Kwa maana imeshuhudiwa kwamba:
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 18Kwa upande mmoja, ile amri ya mwanzo isiyofaa na dhaifu imebatilishwa 19(kwa maana sheria haikufanya kitu chochote kuwa kikamilifu). Kwa upande mwingine, tumeletewa tumaini lililo bora zaidi ambalo linatuleta karibu na Mungu. 20Nalo tumaini hilo halikutolewa pasipo kiapo! Wengine walikuwa makuhani pasipo kiapo chochote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.