Waebrania 7:17
Hebrews 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Hebrews 7:17 in English
Hebrews 7:17 · Berean Standard Bible
For it is testified: “You are a priest forever in the order of Melchizedek.”*
Context
15Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki, 16yeye ambaye amefanyika kuhani si kwa misingi ya sheria kama ilivyokuwa kwa baba zake, bali kwa misingi ya uwezo wa uzima usioharibika. 17Kwa maana imeshuhudiwa kwamba:
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 18Kwa upande mmoja, ile amri ya mwanzo isiyofaa na dhaifu imebatilishwa 19(kwa maana sheria haikufanya kitu chochote kuwa kikamilifu). Kwa upande mwingine, tumeletewa tumaini lililo bora zaidi ambalo linatuleta karibu na Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.